
Mchezo wa Kombe la International Champions Cup kati ya Manchester United na Manchester City umeahirishwa kutokana na matatzio ya hali ya hewa, imeelezwa.
Kwa mujibu wa Tweet iliyopo kwenye akauniti ya Twtter ya United, maamuzi hayo yameridhiwa kwa pamoja na waandaaji wa michuano hiyo pamoja na vilabu hivyo viwili.
0 comments:
Post a Comment