Monday, July 25, 2016

Kocha mpya wa timu ya taifa ya England Sam Allardyce leo ametambulishwa rasmi mbele ya wanahabari na kusema kwamba bado hajaamua kama Wayne Rooney ataendelea kubaki nahodha wa timu hiyo.
Allardyce (61) bila matarajio ya wengi alichaguliwa na Chama cha Soka England FA kuwa bosi wa England maarufu kama Three Lions na ameongea na wanahabari ukumbi  wa National Football Centre uliopo Burton.
Alipoulizwa kama Rooney atabaki kuwa nahidha wa timu hiyo, kocha huyo wa zamani wa Sunderland akajibu kwamba bado hajaamua na bado mapema sana kulizungumzia suala hilo.
Allardyce amesema: 'Bado ni mapema mno kutabiri chochote kwenye eneo hilo. Nitasubiri mpaka nitakapokutana na wachezaji wote.
'Hii ndio mara yangu ya kwanza. Nitakapokutana na wachezaji wote ndio nitajua nini cha kufanya.' 
Akaendelea kusema kwamba: 'Nilishughulikia hilo mpaka nitakapokuna na jopo langu na kujadili mambo haya.'

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video