
Hii itakuwa ni mara ya pili kwa miamba hii kukutana katika hatua ya fainali ya michuano hii, ambapo mara ya kwanza ilikuwa ni mwaka 2014 na Real Madrid walifanikiwa kushinda kwa mabao 4-1 na kuchukua ubingwa huo kwa mara ya kumi maarufu kama 'La Decima'.
Kuelekea mchezo huu, tutupe jicho letu na kuwaangalia wachezaji wenye umri mdogo kabisa kucheza fainali hiyo ya 'Champions League msimu huu'.
Real Madrid:
3. Raphael Varane – miaka 23- ( amecheza michezo saba msimu huu)
Nafasi-beki

2. Jese Rodriguez –
Umri-miaka 23
Michezo-9
Nafasi-Mshambuliaji

1. Mateo Kovačić
Umri-Miaka 22
Michezo-8
Nafasi-Kiungo

Atletico Madrid:
10. Jan Oblak
Umri – miaka 23
Michezo-12
Nafasi- Kipa

9. Yannick Carrasco
Umri- miaka 22
Michezo- 8
Nafasi-Mshambuliaji

8. Luciano Vietto
Umri– miaka 22
Michezo -5.

7. Thomas Partey –
Umri- miaka 22
Michezo- 4
Nafasi-Kiungo

6. Matías Kranevitter
Umri– miaka 22
Mchezo-1
Nafasi-Kiungo

5. José María Giménez
Umri- miaka 21
Michezo- 8
Nafasi- Beki

4. Saúl Ñíguez
Umri– miaka 21
Nafasi- Kiungo

3. Óliver Torres
Umri– miaka 21
Michezo- 7.
Nafasi- Kiungo

2. Ángel Correa
Umri– miaka 21
Michezo- 5.
Nafasi- Midfielder

1. Lucas Hernández
Umri– miaka 20
Michezo-3
Nafasi- Beki

0 comments:
Post a Comment