Friday, March 11, 2016

Paul Scholes kwa mara nyingine tena ameikosoa Manchester United baada ya kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Liverpool, mchezo wa Ligi ya Europa uliopgwa kunako dimba la Anfield jana usiku.
Akiongea baada ya mchezo huo, Scholes ameponda kiwango cha Mashetani Wekundu hao, na kusema asingependa kusikia mchezaji yeyote akiomba msamaha katika mitandao ya kijamii.
"Kwa takribani miaka 20, Manchester ilikuwana ikitambulika , ilikuwa ikicheza mpira wa kasi, mpira wa kupeleka mashambulizi mbele, kupiga 'tackle', kukimbia sana," alisema. "Kwa miaka mitatu ya hivi karibuni wameachana kabisa na falsafa hiyo. Ndiyo maana hali hii inatokea", aliongeza.
"Kitu nisichotaka kukiona ni, watu kukimbilia Twitter na kusema, ’Tunaomba radhi kwa kuonesha kiwango kibovu’. Acheni kuhanagika na mitandao ya kijaa, badala yake chezeni mpira.
"Na kitu cha mwisho ninachotaka ni kuona Man Utd wakiwa na furaha ya kutwaa ubingwa wa FA na kumaliza nafasi ya nne kila mwaka kama ambavyo Arsenal hufanya."

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video