Friday, March 11, 2016

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amefurahishwa sana na namna mashabiki walivyoipa sapoti klabu yao jana katika mchezo dhidi ya Liverpool.
Klopp amesema:“Hali ya mashabiki uwanjani ilkuwa si ya kawaida. Ilikuwa ni ya kufurahisha kusiko kifani na ningependa kusema asanteni nyote kwa sapoti yenu katika mchezo huu,” alisema.
“Ilikuwa ni jambo la zuri sana kufurahi kuanzia sekunde ya kwanza mpaka ya mwisho wa mchezo. Hii ndiyo Liverpool nilikuwa nikiifahamu kabla ya kija hapa, hivyo nimefurahi sana kwa kweli.
Kwa upande wake, kocha wa Man United Louis Van Gaal amewaasa mashabiki wa klabu hiyo kufanya kama walivyofanya mashabiki wa Liverpool kwa kuishangili timu yao kwa moyo wote katika mchezo wa marudiano ili waweze kupata matokeo.
 "Ni lazima nikiri wazi kwamba Liverpool walifanya uwanja uwe wa tofauti kidogo na siku zote,” alisema. 
“Kuruhusu magoli 2-0 ni jambo gumu sana kwetu. lakini muhimu ni kutoa sapoti kwa timu wiki ijayo kama ambavyo mashabiki wa Liverpool walivyofanya kwa timu yao”.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video