Waswahili
wanamsemo wao unaosema, ‘mtoto wa nyika ni nyoka’ lakini pia wakaongeza
kwamba ‘maji sikuzote hapandi mlima’ misemo hiyo ya waswahili inatimia
kupiia Cristiano Ronaldo ambaye ameonekana kwenye video akimfua mtoto
wake Ronaldo Jr namna ya kufunga wakati wakifanya mazoezi. Star huyo wa
Madrid ameweka vikwazo vingi kabla ya goli ili kumzuia motto wake
kufunga kiurahisi. Kitu cha kujifunza hapa ni kwamba:
• Cristiano Ronaldo Jr ni mchezaji ambaye anatumia mguu wa kulia, baba yake mara nyingi hutumia mguu wa kulia lakini anauwezo mkubwa wa kutumia miguu yote.
• Badala ya Ronaldo kumuelekeza mtoto wake akiwa pembeni, anaingia moja kwa moja kumfundisha kwa vitendo huku akishindana naye kuonesha uwezo.

Enjoy video hapa chini
0 comments:
Post a Comment