Mabingwa soka Tanzania bara na wawakilishi katika michuano ya klabu bingwa Afrika Yanga wimewasili salama kisiwani Zanzibar leo saa 4 : 40 asubuhi kikitokea Mauritius.
Yanga ambao hapo jana walishinda kwa bao 1-0 dhidi ya Cercle de Joachim ya Mauritius wamewasili kisiwani Pemba kwa ajili ya kuwe kambi kwa maandalizi ya kukabiliana na watani wao wa jadi Simba, pambano litakalopigwa wikiendi ijayo.
Yanga wanatarajia kurejea jijini Dar es Salaam tayari kwa matanange wao.
0 comments:
Post a Comment