

Sergio 'Kun' Aguero
Mshambuliaji wa nyota wa Manchester City Sergio Aguero 'Kun' amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Januari Ligi Kuu nchini England.
Arguero amefanya kazi kubwa sana baada ya kuisadia timu yake kucheza mechi mfululizo bila ya kupoteza katika mzunguko wa pili na kushika nafasi ya pili.
Aguero amefunga magoli matano na kutoa pasi moja ya goli na kuisaidia timu yake kujinyakulia pointi nane katika michezo minne.
REKODI ZA AGUERO KWA MWEZI JANUARI
Jan 2 - v Watford (goli 1 in katika ushindi wa magoli 2-1 )
Jan 16 - v Crystal Palace (magoli 2 katika ushindi wa magoli 4-0)
Jan 23 - v West Ham (magoli 2 katika ushindi wa magoli 2-2 draw)
TUZO ZA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
August
Andre Ayew (Swansea City)
September
Anthony Martial (Manchester United)
October
Jamie Vardy (Leicester City)
November
Jamie Vardy (Leicester City)
December
Odion Ighalo (Watford)
0 comments:
Post a Comment