Friday, February 5, 2016

Kama ulikuwa hujui basi tunaweza kusema leo ni birthday ya wanasoka kutokana na mastaa kibao wa mchezo huo kusherekea siku zao za kuzaliwa February 5 ya kila mwaka.
Star wa Real Madrid Christiano Ronaldo anaungana na mkali mwingine kutoka Barcelona Neymar JR. Ronaldo ametimiza miaka 31 wakati Neymar yeye anatimiza miaka 24.
Mastaa wengine ambao wanaungana na Ronaldo na Neymar ni pamoja na Carlos Tevez, 32, Adnan Januzaj, 21, Patrick Roberts, 19, Jordan Rhodes, 26, Vedran Corluka, 30, Gheorghe Hagi, 51, na Rodrigo Palacio, 34,ambao wamezaliwa siku kama ya leo pia.
Hawa ni baadhi ya mastaa waliowatumia salamu za Happy Birthday wachezaji wenzao kupitia mtandao wa istagram

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video