Odion Ighalo akiwa kwenye ubora wa hali ya juu ameisaidia Watford kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 nyumbani dhidi ya Liverpool baada ya kufunga mabao mawili na kuipeleka timu yake katika nafasi ya saba ya msimamo wa Ligi, pointi moja tu kufikia timu inayoshika nafasi ya nne.
Goli la tatu la Watford lilifungwa na mchezaji anayecheza kwa mkopo kutoka Chelsea Nathan Ake na kuwamaliza kabisa Liverpool.
Picha zaidi ingia hapa
Tazama video ya magoli hapa
Picha zaidi ingia hapa
Tazama video ya magoli hapa
0 comments:
Post a Comment