Sunday, December 13, 2015

England wamewekwa kwenye kundi moja na Wales kwenye michuano ya mataifa ya Ulaya yatakayofanyika nchini  Ufaransa mwaka ujao.
Michuano hiyo itaanza kwa mechi ya ufunguzi dhidi ya wenyeji Ufaransa na Romania Juni 10.
Mechi kati ya Wales na England itachezwa Juni 16 mjini Lens.
Hafla ya kufanya droo hiyo imeongozwa na katibu mkuu wa Uefa Gianni Infantino.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video