Ligi kuu soka nchini England (EPL) inaendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa ambapo Leicester City wanawakaribisha mabingwa watetezi ambao kwasasa wako hali dhoofu, Chelsea.
Mechi hiyo ya kukata na shoka inaanza majira ya saa tano kamili usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Hivi ni vikosi vinavyotarajia kuanza kwa timu zote mbili...
0 comments:
Post a Comment