BARCELONA YAKALIWA KOO CAMP NOU Mabingwa wa ligi kuu ya Hispania, FC Barcelona wakiwa uwanja wao wa nyumbani wamelazimishwa sare ya mabao mawili kwa mawili na Deportivo La Coruna katika mechi ya ligi kuu ya Hispania. Wafungaji wa magoli yote hawa hapa....
0 comments:
Post a Comment