Monday, August 10, 2015

Daktari wa Chelsea Eva Carneiro amewashukuru mashabiki waliomtia moyo baada ya kocha wa klabu hiyo, Jose Mourinho kuishambulia timu ya matabibu akisema kwamba ni 'wajinga'.
Katika sare ya 2-2 dhidi ya Swansea katika mechi ya ufunguzi wa ligi kuu ya England, Mourinho alichukizwa na kitendo cha Carneiro kuingia uwanjani kumtibu Eden Hazard na kutumia muda mrefu ilihali dakika zikisalia chache.
Chelsea doctor Eva Carneiro thanks fans for support after Jose Mourinho lays into his
Wakati huo Chelsea walilazimika kubaki 9 uwanjani na Swansea wakapata fursa ya kulisakama lango la Chelsea.
Mourinho alisema daktari huyo hakuelewa mchezo.
Carneiro amesema: "Napenda kuwashukuru watu wote walionipa moyo. Kiukweli nimepata faraja sana".
The Chelsea doctor tends to be private but she posted on Facebook to thank those backing her judgement

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video