Tuesday, August 11, 2015

Mechi ya raundi ya kwanza ya kombe la Ujerumani baina ya timu za daraja la chini ilivunjika kipindi cha pili kufuatia mwamuzi kupigwa na kitu kutoka kwa mashabiki.
Refa huyo, Martin Petersen hakuumia sana, lakini alizipeleka timu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo dakika ya 71.
Wakati huo, wenyeji Osnabrueck, ambao hucheza ligi daraja la tatu walikuwa wanaongoza 1-0 dhidi ya  RB Leipzig ya daraja la pili.
The referee sent the teams to the changing rooms after 71 minutes and the match was abandoned
Refa alizitoa timu uwanjani dakika ya 71
Osnabrueck walifunga goli lao katika sekunde ya 23.
Chama cha soka cha Ujerumani (DFB) kimeanza uchuguzi wa tukio hilo.
The German cup match between two lower-tier teams had to be abandoned in the second half
Refa akisikilizia maumivu

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video