Na Salym Juma
Hapa chini pia niwachezaji waliotoka na walioingia kwenye ligi kuu ya Ufaransa maarufu kama ‘French ligue 1’
Marseille
Waliosajiliwa: Karim Rekik (Hijawekwa wazi, Manchester City), Abou Diaby (Bure, Arsenal)
Waliouzwa: Andre Ayew (Bure, Swansea), Dmitri Payet (Hijawekwa wazi, West Ham), GianelliImbula (£15m, Porto), ModouSougou (Bure, Sheffield Wednesday)
AS Monaco
Waliosajiliwa: Mario Pasalic (Mkopo, Chelsea), Stephan El Sharaawy (Mkopo, AC Milan)
Waliouzwa: Geoffrey Kondogbia (£25m, Inter Milan), Yannick Carrasco (Hijawekwa wazi, Atletico Madrid)
Paris Saint-Germain
Waliosajiliwa: Benjamin Stambouli (£6m, Tottenham), Angel Di Maria (£44.3m, Manchester United)
Waliouzwa: Alphonse Areola (Mkopo, Villareal), Yohan Cabaye (£10m, Crystal Palace)
0 comments:
Post a Comment