Friday, August 14, 2015

Kocha mkuu wa klabu ya URA kutoka nchini Uganda,  Moses Basena ameahidi kuipa ushindani wa kutosha timu ya Simba katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki utakaopigwa kesho uwanja wa Taifa, Dar es salaam.
Simbasports.co.tz ilipata nafasi ya kuongea na kocha Bassena ambaye miaka kadhaa iliyopita aliifundisha Simba “Tumekuja kushindana na kuondoka na ushindi, katika mpira kuna matokeo matatu,  kushinda, kufungwa au sare lakini sisi tumekuja kushinda na tuna imani mechi ya kesho itakuwa ni mtihani tosha kwa timu zote mbili Simba na URA, Simba ni timu nzuri na ninaifahamu vizuri sana,  hivyo sina wasiwasi na ushindi katika mechi ya kesho”.
 Tiketi za mchezo huo unaosubiriwa na mashabiki, wapenzi na wanachama wengi wa Simba zitaanza kuuzwa kesho saa 5 asubuhi Uwanja wa Taifa. 
Bei za tiketi zitakuwa ni TSH 20,000 VIP A, TSH 10,000 VIP B na Mzunguko uliobaki ni THS 5,000.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video