Friday, August 14, 2015

Dunga ammtema Philippe Coutinho katika kikosi cha Brazil akidai kwamba nyota huyo wa Liverpool ameshatimiza majukumu yake katika michuano ya Copa America’.
Watu wengi wanasema bosi huyo wa Brazil labda hakutazama mechi ya Stoke dhidi ya Liverpool mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo Coutinho alifunga bonge la goli.
Hata hivyo, Dunga amemuita mkongwe mwenye miaka 33, Ricardo Kaka ili azibe nafasi ya Coutinho.
Kikosi hicho ambacho kitacheza dhidi ya Costa Rica katika mechi ya kirafiki mwezi ujao ni:

Magolikipa: Jefferson, Marcelo Grohe, Alisson
Walinzi: David Luiz, Marquinhos, Gabriel Paulista, Miranda, Dani Alves, Filipe Luis, Danilo,
Viungo: Douglas Santos, Luiz Gustavo, Fernandinho, Elias, Ramires, Oscar,
Washambuliaji: Firmino, Willian, Lucas Lima, Neymar, Kaka, Lucas, Hulk, Douglas Costa

Video ya Dunga akitaja kikosi

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video