Chelsea inaziogopa timu za Manchester United na City kwamba zinaweza kumsajili mchezaji wanayeomtolea macho John Stones.
Mabingwa hao wa EPL walipeleka ofa mara mbili kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa England lakini imekataliwa na klabu yake ya Everton.
Kocha Jose Mourinho anajiandaa kupeleka ofa ya tatu inayokaribia Pauni milioni 30 kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili, ingawa kocha wa Everton, Roberto Martinez amesisitiza kuwa mchezaji wake Stones haendi kokote hata kwa gharama gani.
0 comments:
Post a Comment