Sunday, August 16, 2015

Wakijiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii utakaochezwa Agosti 22 mwaka huu uwanja wa Taifa  dhidi ya Yanga, Azam FC jana usiku wamecheza mechi ya pili ya kirafiki visiwani Zanzibar dhidi ya Mafunzo.
Mchezo huo uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar ulimalizika kwa mabingwa hao wa Afrika Mashariki na kati kuibuka na ushindi wa 3-0.
Magoli yalifungwa na mlinzi wa kulia, Shomari Kapombe, mlinzi wa kati, Aggrey Morris na straika mwandamizi na nahodha, John Bocco.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video