Tuesday, August 11, 2015


Arsene Wenger, Louis van Gaal na mameneja wengine 18 wa timu za ligi kuu nchini Uingereza wote huonekana maridadi kabisa wakiwa ndani ya suti zao wakati wakiwa uwanjani kuzifundisha timu zao.

Lakini ukirejea miaka kadhaa nyuma pia, hutaamini macho yako kwani utakutana na picha zao wakati wakiwa vijana kama wachezaji wanaowafundisha kwa sasa.

Miaka ya nyuma kabla ya kubatizwa jina la ‘Le Professeur’, Arsene Wenger alikuwa ni moja ya viungo vijana maridadi wakati akikipiga katika klabu ya Strasbourg. Mfaransa huyo alidumu kwa miaka 3 kabla na kucheza mara 11 kabla ya kuamua kujiingiza katika kozi za ukocha.

Tim Sherwood 


Kocha wa Bournemouth Eddie Howe 


Kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino 


Kocha wa  Crystal Palace Alan Pardew 

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video