Thursday, July 30, 2015

Arsenal na Chelsea zinatarajia kushuka dimbani jumapili hii  katika mchezo wa ufunguzi wa msimu mpya wa ligi kuu England maarufu kama EPL.
Katika mchezo huo, mapato yote yatokanayo na mechi hutumika katika kuwasaidia watoto wa mtaani na yatima.
Wachezaji wawili wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Diego Costa na Gary Cahill wako hatarini kukosa mecji hiyo ya  ufunguzi wa msimu nchini England.
Mlinzi Gary Cahil aliumia misuli ya pua alipofunga goli kuisawazishia timu yake ya Chelsea dhidi ya Barcelona katika mchezo uliomalizika kwa goli 2-2 na kisha Chelsea kushinda kwa mikwaju ya penati.
Akisisitiza hilo, kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema hajui ukubwa wa tatizo la Cahil lakini akasema kuwa huenda akatakiwa kuvaa kinyago ‘mask’ ili acheze mechi ya jumapili.
Kwa upande wa mshambuliaji Diego Costa ambaye alitonesha matatizo yake ya nyama za paja alifanyiwa mabadiliko ndani ya saa moja katika mchezo huo wa kimataifa dhidi ya Barcelona.
Kocha Jose Mourinho anasema bado haijajulikana uwezekano wa ushiriki wa wachezaji hao katika mchezo wa jumapili.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video