Michuano hii mikongwe imefikia hatua ya nusu fainali baada ya kufanyika robo fainali zenye mvuto.
Zaidi ya heshima ya kikombe kinachoshindaniwa kwenye haya mashindano pia kuna donge nono ambalo limewekwa kwa ajili ya klabu itakayobeba kombe.
Kama ulikuwa hujui taarifa ikufikie kwamba bingwa wa Kagame Cup ataondoka na pesa kiasi cha Dola laki moja ($10,000) pamoja na kikombe.
Tuendelee kufuatilia mashidano haya hadi tujue nani ataondoka na kitita hiki.
Heshima ya timu pamoja na pesa hizi zinaweza kwa kiasi kikubwa kusaidi uendeshaji wa klabu na mambo mengine.
0 comments:
Post a Comment