Mipango ya Manchester United kwenye mechi ya mwisho ya katika ziara ya Marekani haikwenda sawa ndani ya kipindi cha kwanza kwani PSG waliwadhihirishia kwamba ni klabu bora barani Ulaya.
Blaise Matuidi aliwafungia goli la kwanza mabingwa hao wa League 1 katika dakika ya 25 na dakika ya 34 Zlatan Ibrahimovic akafunga goli la pili.
Zlatn alihusika kutengeneza 'move' ya goli na kumalizia pale PSG walipocheza Tiki-Taka dhidi ya Manchester United...
Tazama goli la Ibra....
0 comments:
Post a Comment