Thursday, July 30, 2015

Carlos Tevez ameanza vyema maisha mapya Boca Juniors ya Argentina akifunga goli lake la kwanza.
Akicheza mechi yake ya tatu baada ya kurejea kutoka Ulaya ambako alicheza kwa mafanikio katika klabu za Manchester United, Manchester City  na Juventus, Tevez jana usiku amefunga goli hilo dhidi ya Banfield.
Hilo lilikuwa goli la tatu katika ushindi wa 3-0 waliopata Bpca Juniors.
Tazama goli la Carlos Tevez............

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video