Saturday, July 18, 2015

Mbrazil, Oscar amejifunga Chelsea kuelekea msimu ujao wa ligi kuu England  licha ya kuwaniwa na Juventus.
Nyota huyo mchezeshaji wa Chelsea amekuwa akihusishwa kujiunga na Juventus ingawa bado Jose Mourinho anamuona kama mchezaji muhimu kwenye klabu.
Oscar ambaye yupo na Chelsea mjini Montreal katika kambi ya maandalizi ya msimu mpya, amesema hana mpango wa kwenda Italia.
The Chelsea playmaker had been linked with the Italian club but is planning a long Stamford Bridge stay
"Najua kuna mengi yanazunguzwa kuhusu Juventus, lakini nina furasa sana Chelsea," amesema Oscar, " Mwaka uliopita nilisaini mkataba mpya, nataka kukaa muda mrefu Chelsea. Sijawahi kukosa furaha kama wanavyosema".
Oscar, 23, kwasasa yuko fiti baada ya kushindwa kuitumikia Brazil katika fainali za Copa America kutokana na majeruhi.
Pia alikosa mechi za mwisho za msimu uliopita katika klabu yake ya Chelsea.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video