Golikipa na nahodha wa zamani wa Real Madrid, Iker Casillas ameanza vizuri kazi yake akiwa na klabu yake mpya ya FC Porto.
Katika mechi yake ya kwanza ambayo ilikuwa ni ya kirafiki dhidi ya Duisburg ilimalizika kwa suluhu.
Casillas amejiunga na Porto ikiwa ni miaka 25 baada ya kuitumikia Real Madrid.
0 comments:
Post a Comment