Sunday, July 19, 2015

Supastaa wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo kwasasa yupo Australia na kikosi cha Real Madrid kinachojiandaa na msimu mpya.
Ronaldo ameonekana kuvutiwa na muigizaji wa kike wa Australia, Margot Robbie.
Mwanasoka huyo bora wa Dunia mwenye miaka 30 ame-like picha ya mrembo huyo kwenye akaunti yake ya Instagram wikiendi hii.
Margot Robbie yupo katika mahusiano ya kimapenzi na Tom Ackerley tangu mwaka 2014 na huenda akajisikia vibaya kutokana na tabia hii ya Ronaldo aliyoonesha kwenye mtandao wa kijamii wa mchuchu wake.
Ronaldo yupo 'Single' tangu amwagane na mwanamitindio Irina Shayk mwanzoni mwa mwaka huu.
Tazama picha za Margot Robbie ambazo Ronaldo ame-like Instagram:




0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video