Sunday, July 19, 2015

Baada ya msimu mrefu ambao alishinda kombe la FA akiwa na klabu ya Arsenal mwezi Mei mwaka huu na Copa America mapema mwezi huu, nyota wa Arsenal, Alexis Sanchez anaendelea na mapumziko kabla ya kurejea kujiandaa na msimu mpya.
Jana katika akaunti yake ya Instagram, Sanchez ali-posti picha akiwa amelala na mipira mingi ambayo alisema ni kwa ajili ya watoto.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video