Saturday, July 18, 2015

Hakizimana Louis, ni mwamuzi wa kimataifa anayetambulika na Shirikisho la mpira wa miguu Duniani, FIFA. 
Ni mmoja kati ya waamuzi watakaopuliza kipyenga katika michuano ya Kombe la Kagame, inayoanza saa chache zijazo.
Si mara ya kwanza kuchezesha mchezo hapa Tanzania, mwaka 2012 alichezesha mchezo wa Tanzania chini ya umri wa miaka 17.
Takwimu.
Ndani ya michezo 8 ya kimataifa, akiwa kwao Rwanda ametoa penalti 2, kadi za njano 8 na kadi nyekundu 1.
Nje ya Rwanda.
Ametoa penalti 1, kadi za njano 7 na hakutoa kadi nyekundu.
Takwimu hizi zinaonyesha ni mwamuzi makini sana anapochezesha ugenini, maamuzi yake huwa ya kutumia akili, busara na maarifa bila ya kuvunja sheria.
Hakizimana Louis, mnamo tarehe 5-04-2015. Alipuliza kipyenga katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, baina ya AC Leopards dhidi ya Gor Mahia. Leopards ilishinda goli 1-0, Hakizimana alitoa kadi 3 za njano, hakutoa kadi nyekundu.
Huyu ndiye Hakizimana Louis, mwamuzi mwenye busara
Chanzo: Sokatanzaniacom

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video