Schneiderlin akishangalia goli lake sambamba na Phil Jones na Memphis Depay
Schneiderlin akipiga kichwa akifunga goli lake la kwanza ndani ya uzi wa Manchester United

Wayne Rooney akijaribu kumzuia Pablo Cesar Aguilar

Nyota wa Club America, Osvaldo Martinez (kushoto) akiwaacha viungo wawili wa Man United Memphis Depay (katikati) na Juan Mata (kulia)

Juan Mata akichuana na Paolo Goltz

Ashley Young akiachia mkwaju akijaribu kutikisa nyavu

Bastian Schweinsteiger (kulia) naye amepata nafasi ya kuonesha cheche

Memphis Depay, ameonesha 'tachi' maridadi kabisa

Schneiderlin akionesha ufundi wake

Memphis Depay akioneshana kazi na Javier Guemez
Kwa picha zaidi : http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3166097/Manchester-United-1-0-Club-America-Morgan-Schneiderlin-header-debut-hands-Louis-van-Gaal-s-men-winning-start-pre-season.html#ixzz3gDfVSqUv

0 comments:
Post a Comment