Sunday, July 19, 2015

Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Yanga SC jana walishindwa kufurukuta mbele ya wababe wa ligi ya Kenya timu ya Gor Mahia baada kukubali kichapo cha goli 2-1 kwenye mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Kagame Cup uliopigwa jana jioni kwenye uwanja wa Taifa.
Yanga walipata goli lao mapema dakika ya nne kipindi cha kwanza mfungaji akiwa ni Donald Ngoma lakini dakika ya 16 Haruna Shakava aliifungia Gor Mahia goli la kusawazisha na Michael Olunga akafunga goli la pili na la ushindi kwa upande wa Gor Mahia dakika ya 45 kipindi cha pili.
Haya ni matukio muhimu ambayo yalijiri uwanja wa Taifa kabla wakati na baada ya mchezo huo wa ufunguzi.
Manahodha wa timu zoet mbili wakiwa kwenye picha ya pamoja na waamuzi wa mchezo
Manahodha wa timu zoet mbili wakiwa kwenye picha ya pamoja na waamuzi wa mchezo
Kikosi cha Yanga kilichoikabili Gor Mahia kwenye mchezo wa ufunguzi
Kikosi cha Yanga kilichoikabili Gor Mahia kwenye mchezo wa ufunguzi
Kikosi cha Gor Mahia kilichoanza jana
Kikosi cha Gor Mahia kilichoanza jana
Waziri mkuu wa zamani wa iliyokuwa serikali ya umoja wa kitaifa ya Kenya Laila Omolo Odinga (katikati) aipunga mkono kwa mashabiki waliokuwepo uwanjani kushuhudia pambano la Yanga dhidi ya Gor Mahia
Waziri mkuu wa zamani wa iliyokuwa serikali ya umoja wa kitaifa ya Kenya Raila  Odinga (katikati) aipunga mkono kwa mashabiki waliokuwepo uwanjani kushuhudia pambano la Yanga dhidi ya Gor Mahia
Gor Mahia wakipasha miili joto
Gor Mahia wakipasha miili joto
Wachezaji wa Yanga wakinyoosha viungo kablya ya mechi kuanza
Wachezaji wa Yanga wakinyoosha viungo kablya ya mechi kuanza
Yanga leo
Mashabiki wa Yanga wakiwa hawana matumaini bada ya timu yao kufungwa goli la pili na timu ya Gor Mahia kwenye mchezo wa ufunguzi uwanja wa Taifa
Mashabiki wa Yanga wakiwa hawana matumaini bada ya timu yao kufungwa goli la pili na timu ya Gor Mahia kwenye mchezo wa ufunguzi uwanja wa Taifa
Yanga leo 4
Mashabiki wa Gor Mahia wakiwa wanaisapoti timu yao kwa nguvu zote
Mashabiki wa Gor Mahia wakiwa wanaisapoti timu yao kwa nguvu zote
Kma kawaida ya Yanga na Simba, mashabiki wa Simba wakiiunga mkono timu ya Gor Mahia
Kama kawaida ya Yanga na Simba, mashabiki wa Simba wakiiunga mkono timu ya Gor Mahia
Mwamuzi wa mchezo SsaliMashood wa Uganda akimwonyesha kadi nyekundu Donald Ngoma
Mwamuzi wa mchezo Ssali Mashood wa Uganda akimwonyesha kadi nyekundu Donald Ngoma
Yanga leo 11
Msuva akichanja mbuga
Msuva akichanja mbuga
Yanga leo 19
Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma akiwa katika huzuni baada ya kutandikwa kadi nyekundu
Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma akiwa katika huzuni baada ya kutandikwa kadi nyekundu
Yanga leo 12
Mshambuliaji mpya wa Yanga Malimi Busungu (kushoto) na golikipa namba mbili wa Yanga Deogratius Munishi 'Dida' wakifauatilia kwa makini mchezo wa jana
Mshambuliaji mpya wa Yanga Malimi Busungu (kushoto) na golikipa namba mbili wa Yanga Deogratius Munishi ‘Dida’ wakifauatilia kwa makini mchezo wa jana
Wapiga picha wakiwa kazini
Wapiga picha wakiwa kazini
Hapa ndipo pambano lilipopigwa jana
Hapa ndipo pambano lilipopigwa jana

0 comments:

https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video