Saturday, July 4, 2015

Radamel Falcao amekubali mshahara wake kupunguzwa kwa asilimia 50 katika klabu ya Chelseaa.
Mcolombia huyo jana amejiunga rasmi na Chelsea kwa mkataba wa mkopo wa muda mrefu na amepewa nafasi hiyo kuthibitisha kwamba yeye ni bora baada ya msimu uliopita kushindwa kuonesha cheche akiwa Manchester United.
Straika huyo mwenye miaka 29 ambaye mkataba wake uko Monacho alikuwa anavuna £285,000 kwa Juma Old Trafford, lakini sasa amepunguziwa mpaka £140,000  akiwa Stamford Bridge.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video