Monday, June 22, 2015

>>Mazoezi hayo yalihudhuriwa na viongozi wa juu akiwemo Jonas Tiboroha.
>>Mrisho Halfan Ngassa mchezaji wa Free States Stars ya Afrika kusini alihudhuria mazoezi hayo.
>>Malimi Busungu mshambuliaji mpya wa Yanga amethibitisha yeye ni jembe la kweli baada ya kupiga bao saaafi.
>>Mbuyu Twite aumia mazoezini lakini sio jeraha kubwa,kapumzishwa pembeni.
>>Idadi kubwa ya mashabiki wa Yanga wamejitokeza kushuhudia mazoezi hayo katika viwanja vya Karume.
>>Hans van Pluijm,Charles Boniface Mkwasa,Juma Pondamali ni benchi la ufundi linalosimamia program ya mazoezi leo.
>>Timu inafanya mazoezi ya kisasa,huku wakicheza soka safi!Kocha mkuu ameonekana kuridhika na mwenendo wa timu yake akiwasisitiza mashabiki wa Yanga tusiwe na hofu!
>>Baada ya kufunga usajili wa wachezaji wa ndani kuanzia kesho kuna mchezaji wa kimataifa atatua kusaini mkataba baada ya TFF kuweka wazi idadi ya wachezaji wa kigeni.
Credit:Naipenda Yaga page

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video