Friday, June 12, 2015

Unaambiwa duniani kuna wacheza soka wa aina mbili, moja ni yule wa uwanjani na mwingine ni mcheza soka wa kwenye video game. 
Sasa kwa wale wanasoka wa kwenye video game kuna habari nzuri kutoka Konami ambao ndio producers wa video game maarufu ya soka inaitwa “Pro Evolution Soccer” au kwa kifupi inaitwa PES.
Leo tarehe 12 June ndio siku ambayo PES 2016 inaanza kuuzwa na kwenye cover ametokea Neymar. Hii ni mara yake ya kwanza. Pia moja ya features ambazo watu wengi wanasubiri ku-experience ni style ya kushangilia kwa kupiga selfie ambayo alifanya Francesco Totti kwenye mechi dhidi ya Lazio. Feature hiyo itakuwepo kwenye version hii ya PES 2016.
KONAMI2
Hii hapa ni full trailer ya game yenyewe.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video