Friday, June 12, 2015

Akitokea kushinda makombe matatu na Barcelona, Neymar alichelewa kujiunga na kikosi cha Brazil wiki hii na ikasababisha aanzie benchi katika mechi ya mwisho ya kirafiki iliyopigwa jana dhidi ya Honduras kujiandaa na michuano ya Copa America iliyoanza kutimua vumbi nchini Chile.
Neymar aliingia kipindi cha pili katika mchezo huo ambao Brazil ilishinda 1-0, lakini hakuonesha cheche na kukosolewa na mashabiki.
Neymar alikuwa anajiangusha kirahisi na kusababisha mchezaji mmoja wa Honduras kutolewa kwa kadi nyekundu, ile staili yake ya kulalamika ilisababisha mashabiki wa Brazil wamzomee, lakini kelele hizo haziwezi kusikika kwenye video hii kutokana na sauti ya muziki iliyowekwa.
Wabrazil bado wana kidonda cha kupigwa 7-1 na Ujerumani katika michuano ya kombe la dunia iliyofanyika kwenye ardhi yao kwaka jana.
Angalia video ya Neymar....

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video