Friday, June 12, 2015

BRENDAN Rodgers alikuwa na msimu mgumu 2014/2015 na kujikuta akimaliza nafasi ya sita na klabu yake ya Liverpool katika michuano ya ligi kuu soka ya England.
Msimu wa 2013/2014 alimaliza nafasi ya pili, lakini msimu uliopita hali ilikuwa tete Anfield.
Wakati huu klabu ipo 'busy' kusaini wachezaji kwa ajili ya msimu wa 2015/2016, Brendan yeye anakula bata na mpenzi , Charlotte Hind mjini Marbella.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video