Monday, June 22, 2015

KIPIGO cha mabao 3-0 walichokipata Stars dhidi ya Uganda ‘The Cranes’, kimeonekana kumsikitisha Kocha raia wa Uholanzi, Hans van der Pluijm ambaye alishuhudia mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar.
Mabao mawili ya mshambuliaji, Erisa Sekisambu na lile la Farouk Miya, yalionekana kuwa mwiba mchungu kwa kocha huyo aliyekuwa akiufuatilia kwa karibu mchezo huo.
Kila Stars ilipofungwa bao, Pluijm alionekana kusikitika na hata mchezo ulipomalizika, aliondoka uwanjani hapo akiwa haamini kilichotokea.
“Chanzo cha kipigo kilitokana na makosa ya mabeki, kikosi cha Uganda ni cha kawaida tu, hata wachezaji wake hakuna anayetisha.”
Kwa kupokea kipigo hicho, Stars italazimika kushinda mabao zaidi ya 4-0 katika mchezo wa marudiano ugenini wiki mbili zijazo ili iweze kusonga mbele.
Chanzo:Bingwa.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video