Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania - TFF, Jamal Malinzi kesho siku ya jumanne tarehe 23 Juni, 2015 ataongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteli ya Tansoma eneo la Gerezani - Kariakoo majira ya saa 5 kamili asubuhi.
Waandishi wote wa habari mnaombwa kuhudhuria bila kukosa.
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
0 comments:
Post a Comment