Golikipa wa Manchester City na England, Joe Hart amefunga ndoa na Kimberly Crew.
Sherehe ya wawili hao imefanyika jana nchini Italia na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali.

Bibi harusi akiwasili: Kimberly alitabasamu mno wakati akiwasili eneo la harusi jana Jumamosi.

Nyota wa West Brom, Joleon Lescott alikuwepo pia

Mchezaji wenzake na Hart katika klabu ya Manchester City, Vincent Kompany (kulia) walikuwepo kama kawaida

Adam Johnson, naye alikuwepo

Marafiki wakiwasili

Wasindikizaji wa mwanamke
0 comments:
Post a Comment