Wednesday, May 27, 2015


Dnipropetrovsk ni jiji lenye watu wachache chini ya milioni moja na mara kadhaa limehusika kwenye machafuko yanayotokana na waasi wa Urusi na watu zaidi ya 6200 wamekufa kwa mwaka moja tu.

Pia mechi kadhaa za Dnipropetrovsk zilichezewa kwenye jiji la Kiev kutokana na machafuko hayo.
 Sasa wachezaji wa Dnipro wamejitolea pesa zao ili kuwasafirisha mashabiki kutoka kwenye jiji lao hadi kwenye mechi yao ya fainali.

Nahodha wa Dnipro alisema “Kutokana na hali ya uchumi sio mashabiki wote wanaweza kuja kuhudhuria game hii ya kihistoria. Tumewasaidia mashabiki kuja kwenye mechi na tunaamini watafika kwenye game hii. Ni vigumu kuhesabu malipo tuliyolipia na ticket tulizonunua kwa ajili yao, lakini yote lengo ni kuja kujumuika nao kwenye mechi”

Dnipropetrovsk wanachuana na Sevilla katika mechi ya fainali ya ligi ya Europa  inayotarajia kuanza majira ya saa 3:45 kwa saa za Afrika mashariki uwanja wa Warsaw National.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video