Wednesday, May 27, 2015

Jackson Mayanja
KAGERA Sugar FC imeachana na makocha wake wawili, huku ikiendelea kuwajadili viongozi wengine wa benchi la ufundi.
Katibu mkuu wa klabu hiyo, Hamis Madaki amethibitisha kwamba kocha mkuu, Mganda, Jackson Mayanja ameshapewa barua rasmi ya kuachishwa kazi klabuni hapo.
Kwa pande wa kocha msaidizi aliyedumu kwa zaidi ya miaka tisa (9),  Murage Kabange, mkataba wake umefikia tamati na klabu imeamua kutomuongeza ulaji.

Murage kabange

Madaki pia amethibitisha kuteuliwa kwa Mbwana Makata katika nafasi ya kocha mkuu na amepewa jukumu la kuteua msaidizi wake.
Akifanikiwa kuwaletea msaidizi, usajili wa uchezaji utaanza mara moja.
Kagera Sugar wameamua kuchukua maamuzi magumu kutokana na timu yao kufanya vibaya msimu wa 2014/2015 ambapo ilimaliza nafasi ya 7 ikijikusanyia pointi 32.

Wakati huo huo, Tanzania Prisons wanaendelea kumshukuru Makata kwasababu ndiye amewaokoa kushuka daraja, lakini sasa inabidi watafute kocha mwingine.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video