BAYERN Munich wanaikaribisha FC Barcelona katika mechi ya marudiano ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya inayopigwa uwanja wa Allianz Arena majira ya saa 3:45 usiku kwa saa za Afrika mashariki.
Mechi ya kwanza uwanja wa Camp Nou, Bayern walikufa 3-0 na wanahitaji ushindi wa magoli 4-0 ili kusonga mbele.
Lakini rekodi zinaonesha kuwa msimu huu, Barcelona imewafunga mabingwa watano tofauti wa ligi kubwa duniani, leo itakuwaje dhidi ya Bayern???



0 comments:
Post a Comment