MECHI ya kwanza ya nusu fainali baina ya Juventus dhidi ya Real Madrid inatarajia kupigwa leo usiku nchini Italia kuanzia majira ya saa 3:45 kwa saa za Afrika mashariki.
Kesho jumatano Barcelona watawakaribisha FC Bayern Munich katika mechi ya nusu fainali itayopigwa uwanja wa Camp Nou muda sawa na wa leo.
VIKOSI NA MIFUMO INAYOTARAJIWA BAINA YA JUVENTUS v REAL MADRID
formations :
[ 3-5-2 ]
[ 4-4-2 ]
line-ups :
Gianluigi Buffon
Iker Casillas
Giorgio Chiellini
Raphael Varane
Andrea Barzagli
Pepe
Leonardo Bonucci
Marcelo
Claudio Marchisio
Daniel Carvajal
Andrea Pirlo
Sergio Ramos
Arturo Vidal
Toni Kroos
Stephan Lichtsteiner
James Rodriguez
Patrice Evra
Isco
Alvaro Morata
Cristiano Ronaldo
Carlos Tevez
Gareth Bale
0 comments:
Post a Comment