Baada ya Stand United leo kufanikisha kusalia kaatika ligi kuu Tanzania bara hapo mwakani, Mashabiki, viongozi na wapenda soka wa mkoa wa SHINYANGA waliangusha bonge la furaha kwani ilikuwa wamebakiza kiduchu washuke ambapo ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting ndio umewabakiza VPL.
Hivi ndio ilivyokuwa.








0 comments:
Post a Comment