Tuesday, May 12, 2015



MSHAMBULIAJI wa Simba, raia wa Uganda, Danny Sserunkuma amewaaga Wanamsimbazi akiwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa muda mfupi aliokaa na klabu hiyo.
Danny alisajiliwa na Simba wakati wa dirisha dogo la usajili mwezi desemba mwaka jana, lakini kwa muda wote tangu asajiliwe hajapata nafasi kubwa ya kucheza katika kikosi cha kwanza.
Mfungaji huyo bora wa zamani wa Gor Mahia mara mbili mfululizo ame-tweet ujumbe huu hapa chini na kujibiwa na katibu mkuu wa Simba, Stephen Ally akisema imekuwa furaha kubwa kufanya kazi na Danny;

Duru za habari zinaeleza kuwa Danny aliandika barua ya kuomba kuvunja mkataba na Simba kabla ya ligi kumalizika,  kwa madai kuwa hana furaha klabuni hapo, 

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video