Tuesday, May 12, 2015



Mabingwa wapya wa ligi kuu soka nchini Uingereza, klabu ya Chelsea imeshindwa jaribio la kumsajili mchezaji  YOSHINORI MUTO , baada ya mchezaji huyo raia wa Japan kuikimbia klabu hiyo yenye maskani yake katika dimba la Stamford Bridge  na kuamua kukataa ofa ya mkataba wa miaka mitano.

 
 Muto mwenye umiri wa miaka 22 sasa yupo mbioni kujiunga na klabu ya  Mainz 05 inayoshiriki ligi kuu nchini ujerumani baada ya kukubaliana ada ya uhamisho ya Euro million 2.16 na klabu yake ya sasa ya Fc Tokyo.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video