Monday, May 4, 2015



Na Bertha Lumala, Dar es Salaam

'Stand ni miongoni mwa timu tano ambazo ziko hatarini kuporomoka daraja msimu huu.'

KATIKA kile kinachoonekana safu ya ulinzi ya Stand United FC imeyumba, timu hiyo pekee Ligi Kuu kutoka mkoani Shinyanga imefungwa mabao 10 katika mechi tatu zilizopita.
United imefunga mabao hayo katika mechi dhidi ya mabingwa Yanga (3-2), Azam FC (4-0) na Coastal Union FC (3-1) ikiwa ni timu iliyofungwa mabao mengi zaidi katika mechi tatu zilizopita ikifuatwa na Coastal waliofungwa mabao tisa na kufunga matano.

Kikosi cha Mganda Mathia Lule cha Stand United kinatakiwa kushinda mechi ya Jumamosi dhidi ya Ruvu Shooting Stars ili kuukwepa mstari wa kuporomoka daraja.

Timu nyigine, na pointi zake kwenye mabao, zilizo katika hatari ya kurudi daraja la kwanza ni Police Moro FC (25), Tanzania Prisons FC (28), Ndanda FC (28) na Ruvu Shooting Stars (29).

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video