MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo amefunga magoli matatu 'Hat-trick', Real Madrid ikiibuka na ushindi wa magoli 3-2 ugenini dhidi ya Sevilla.
Ronaldo alifunga magoli hayo dakika ya 36', 37' na 68'.
Hii ni hat-trick ya 29 katika maisha yake ya soka ndani ya klabu ya Real Madrid na sasa wakali hao wa Santiago Bernabeu wanakuwa nyuma kwa pointi mbili tu dhidi ya vinara, Barcelona.
CR7 akishangilia moja ya goli lake
Kabla ya mechi hiyo, Ronaldo alishuhudia mpinzania wake Lionel Messi akifunga goli la 40 na 41 katika msimu huu Barcelona ikishinda 8-0 dhidi ya Cordoba, lakini amejibu mapigo.
Magoli ya Sevilla yalifungwa na Carlos Bacca dakika ya 45' kwa mkwaju wa penalti wakati goli la pili lilifungwa na Vicenter Iborra dakika ya 79'.
TAKWIMU ZA MECHI
statistics :
7
shots on target
5
11
shots off target
8
44
possession (%)
56
8
corners
1
4
offsides
1
12
fouls
10
4
yellow cards
2
11
goal kicks
11
2
treatments
2
0 comments:
Post a Comment