Saturday, May 9, 2015

Vita ya maneno kati ya Manny Pacquiao na Floyd Mayweather imeendelea, ambapo kama inavyoonekana hapo juu mfuasi wa Pacquiao ameshinka bango ambalo linasomeka;"Someone needs to tell Mayweather he's supossed to hug his wife and punch me in the ring, not the other way around"
Akimaanisha kwamba"Inatakiwa ajitokeze mtu wa kumwambia Mayweather kwamba anatakiwa kumkumbatia mke wake na pindi tuwapo ulingoni ndio arushe ngumi na si vinginevyo"
Mayweather aliwahi kukamatwa na kufungwa kwa kosa la kumpiga mkewe, Josie Harris, miaka kadhaa iliyopita. Sasa wakati akipambana na Pacquaio, watu wengi walisema kuwa alitumia muda mwingi kumkimbia na kumkumbatia kuliko kumrushia ngumi.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video